PAROKIA YA MAFINGA

S.L.P 21 –MAFINGA
“Bikira Maria Aliyepalizwa Mbinguni”
Masista waliozaliwa Parokia ya Mafinga ni wafuatao;
| JINA | KIGANGO |
| Sr. Metilde Chavala CST | Ndolezi |
| Sr. Emanuela Mkonda CST | Ndolezi |
| Sr. Anjelita Ng’owo CST | Isalavanu |
| Sr. Emma Mdalingwa CST | Isalavanu |
| Sr. Carmelita Mselu CST | Isalavanu |
| Sr. Anna Rosa Mdalingwa CST | Isalavanu |
| Sr. Jane Ngombe CST | Isalavanu |
| Sr. Fadhili Mnyifuna CST | Isalavanu |
| Sr. Eleonora Ngamunga CST | Mtula |
| Sr. Seraphina Mapile CST | Ulole |
| Sr. Lidia Mangula CST | Ulole |
| Sr. Evelina Mdemu CST | Ikongosi |
| Sr. Salome Nyitala CST | Ikongosi |
| Sr. Leonardina Kisapi CST | Ikongosi |
| Sr. Maria Esta Mgina CST | Ikongosi |
| Sr. Teresia Mligo CST | Ifwagi |
| Sr. Delfinga Mdemu CST | Ifwagi |
| Sr. Carmelita Tossi CST | Mafinga |
| Sr. Carmelita Sule CST | Mamba |
| Sr. Yasinta Mgaya CST | Mafinga |
| Sr. Esta Chumi CST | Mafinga |
| Sr. Christina Chulaa | Changarawe OSB |
| Sr. Rita Kihwele | Changarawe ,B.M. |
| Sr. Stella Kikoti | Changarawe ,B.M. |
| Sr. Rita Kihwele | Changarawe ,B.M. |
| Sr. Stella Mdalingwa | Isalavanu, B.M. |
| Sr. Felista Sombe | Nundwe, B.M. |
| Sr. Chezarina Kitalika | Nundwe, B.M. |
| Sr. Bakita Nyenzi | Mwitikilwa, B.M. |
| Sr. Josephina Mwakalukwa | Changarawe ,Shirika la Migoli |
| Sr. Patricia Kabonge | Changarawe, St. Vincent de Paul |
| Sr. Sara Kihwele | Changarawe, OSB Imiliwaha Njombe |
Mabrudha waliozaliwa Parokia ya Mafinga ni wafuatao;
Gaudenzio Kigahe OSB – kigango cha Ikongosi - (Monasteri ya Hanga)
Waseminari wakubwa wa Parokia ya Mafinga ni wafuatao;
Sostenes Ndendia – Changarawe, Shirika la Damu Takatifu ya Yesu (Seminari kuu-Morogoro)
UCHUMI
Mazao ya chakula ni mahindi, viazi
Mazao ya biashara ni mahindi
Wakulima wanatumia majembe hasa katika kilimo, kidogo materekta na plau za ng’ombe
A. BIASHARA
Biashara kubwa katika Parokia ni mbao. Biashara hii ipo mwaka mzima.
Kuna wafanyabiashara wengi wanaouza bidha za kawaida madukani.
Wafanyabiashara wanakumbwa na hali duni ya watu ambao wanashindwa kununua bidha za kisasa. Zaidi wafanyabiashara wanauza bidha za kila siku.
B. UFUGAJI
Katika Parokia yetu kuna wafugaji wa ng’ombe, nguruwe, mbuzi, kuku. Wafugaji wengi hawategemei moja kwa moja mifugo yao bali wengi wanafuga kama mradi nyongeza. Hivi katika eneo la Parokia kuna upungufu wa mifugo.
HITIMISHO
Mapendekezo yangu ili kuboresha utume wa Parokia ni kuwa na masista wenye elimu ya kutosha ili waweze bega kwa bega kushirikiana na mapadre katika utume, hasa mafundisho ya vipindi mashuleni. Watu wa Parokia ya Mafinga wanaridhika na huduma wanayopewa. Wakristo wamepata mwamko mkubwa kusali kanisani. Hata hivyo maeneo mengi ya Parokia waamini hawatii maanani katika Jumuiya Ndogo Ndogo. Si wengi wanaojiunga na Vyama vya kitume, waamini wengi hawalipi zaka ingawa wanahimizwa mara nyingi. Parokia ya Mafinga inageuka kuwa Parokia ya mjini na si tena ya missioni.